SELASH TECH - SULUHISHO LAKO LA TEKNOLOJIA!

Selash Tech - Suluhisho Lako la Teknolojia!

Selash Tech - Suluhisho Lako la Teknolojia!

Blog Article


Je, unahitaji huduma za IT zenye uhakika kwa biashara au matumizi yako binafsi? Sasa acha kuhangaika! Selash Tech tupo kwa ajili yako na tuna kila kitu unachohitaji ili kuhakikisha teknolojia inakufanyia kazi kikamilifu. Twende moja kwa moja kwenye huduma zetu na kwanini unapaswa kutuchagua!



1️. Matengenezo na Usaidizi wa Kompyuta
Kompyuta yako imekuwa slow? Ina virus? Au inagoma kuwaka kabisa? Usiogope, tupo kwa ajili yako! Tunafanya matengenezo ya software na hardware, pamoja na ushauri wa kitaalamu ili kuhakikisha vifaa vyako vinafanya kazi kama vipya!



2️. Ufungaji wa Mfumo wa GPS kwa Ufuatiliaji wa Magari
Unataka kujua gari lako liko wapi muda wote? Tuna GPS Trackers bora zaidi kwa usalama wa magari yako binafsi, biashara, au magari ya kampuni. Huduma hii ni MUST-HAVE kwa wanaomiliki magari ya usafirishaji na biashara.


3️. Ufungaji wa Kamera za CCTV kwa Usalama
Usalama ni kipaumbele! Tunasambaza na kufunga kamera za CCTV zenye teknolojia ya hali ya juu kwa ajili ya nyumba, biashara, na ofisi. Usiruhusu wizi na uharibifu wa mali yako, chukua hatua leo!



4️. Huduma za Graphics Design
Unahitaji logo kali, mabango ya biashara, au posts za mitandao ya kijamii zinazoonekana PRO? Tunaunda graphics zenye mvuto na ubunifu wa hali ya juu, ili kuvutia wateja wako kwa sekunde chache tu!



5️. Usimamizi wa Mitandao ya Kijamii
Mitandao ya kijamii ndiyo nguvu ya biashara ya sasa! Tunakusaidia kusimamia akaunti zako, kutengeneza maudhui mazuri, na kukuza biashara yako kwa wateja zaidi. Fanya kazi zako, sisi tutakuletea wateja!



6️. Web Hosting & Ubunifu wa Tovuti ????
Biashara isiyo na tovuti ni kama duka bila mlango! Tunatengeneza tovuti za kisasa na tunatoa huduma bora za web hosting kwa kasi na usalama wa hali ya juu. Pata tovuti yako sasa! ????



7️. Usajili wa Majina ya Domain ????️
Unataka kuwa na jina la kipekee kwa biashara yako mtandaoni? Tunakusaidia kupata na kusajili domain yako kwa urahisi na kwa bei nafuu. ????


8️. Huduma za Mtandao na Ufungaji wa Vifaa vya Network ????
Unahitaji WiFi yenye speed ya ukweli? Tunatoa huduma za ushauri, usanidi, na matengenezo ya mifumo ya mtandao kwa makampuni, biashara, na hata majumbani. Connection yako itakuwa BORA! ????



9️. Mfumo wa ERP kwa Biashara ????
Biashara yako inahitaji mfumo wa kisasa wa usimamizi wa mauzo, manunuzi, hesabu, na ripoti? Tunakusaidia kusanidi na kuboresha mfumo wa ERP ili kuboresha ufanisi wa biashara yako. ????????



10. Huduma za Bulk SMS kwa Biashara ????
Unataka kutuma ujumbe wa moja kwa moja kwa wateja wako wengi kwa mara moja? Tunatoa huduma za Bulk SMS kwa matangazo, maonyo ya malipo, na ujumbe wa kipekee kwa biashara yako. Rahisi, haraka, na nafuu! ????



Kwa Nini Uchague Selash Tech? ????
✅ Huduma za haraka na za kitaalamu.
✅ Bei rafiki kwa wateja wote.
✅ Timu yenye uzoefu na inayojali mahitaji yako.
✅ Tunaelewa teknolojia, na tunakuletea suluhisho sahihi!



???? Wasiliana Nasi Sasa! ????
???? Simu/WhatsApp: **+255 714 592 047
???? Instagram/Facebook: @SelashTech
???? Tovuti: selashtech.com

Usiache biashara yako iende bila teknolojia sahihi! Selash Tech – Tunakuletea Teknolojia Kiganjani Mwako! ????????

FixMyPC HardwareRepair

Report this page